Diamond Platnumz - Zuwena (Official Music Video)
4:02
YouTubeDiamond Platnumz
Diamond Platnumz - Zuwena (Official Music Video)
Download Zuwena Song👇👇👇 https://dplatnumz.lnk.to/zuwena https://www.youtube.com/channel/UCev-b-xy-p5fHK8x3zJyn1Q?sub_confirmation=1 Death, loss, and grief are natural parts of life. However, the shock and sadness of sudden death might be too much for loved ones to bear, and their reactions will vary depending on the individual. This ...
已浏览 3917.9万 次2023年2月3日
歌词
Habari gani kaka? Naamini unanisikia
Mi mzima wa afya, mama Mungu anasaidia
Toka ulipotuacha, mahututi anazidiwa
Bibi presha-presha nae akatangulia
Bado twakuombea ulale salama pema
Japo moyoni nna dukuduku
Natamani kusema, niseme eeh
Zile mali wosia ulizotuhusia, tuligawa salama
Zuwena zote tukampatia, tusiwe ndugu lawama
Ila Zuwena kaka, amebadilika sana
Yani shem lake bi Zu' wa leo sio yule wa jana
Natamani ungemuona (Zuwena)
Japo ungemuona (Zuwena)
Kidogo tu ungemuona (Zuwena)
Ungemuoona (Zuwena)
Oh, ungemuona (Zuwena)
Ah, zuwena (Zuwena)
Ooh, ungemuonaa (Zuwena)
Zuwena, ooh
Mmh, Zuwena sasa kawa chotara
Sio tena cheusi mangara
Ngozi kaichubua awe Muzungu
Anavuta na sigara
Mara Boko, Mwananyamala
Anachezesha tu miamala
Kutwa anaisugua kipepe rungu
Tena peku bila ndala
Ah, Zuwena skuizi anabandika kope (Zuwena)
Zuwena mipasuo kama yote (Zuwena)
Oh, Zuwena lipa shika tuondoke (Zuwena)
Ah, Zuwena wanamuita chawote, ooh-ooh
Juzi kabebwa kwa jirani ata hajitambui (Zuwena)
Yani kalewa tafarani kautwika mbwii (Zuwena)
Zuwena sio tena wa ibada na dini
Sadaka chenji asaidie
Skuizi kageuka pedeshee wa mjini
Kutunza bendi wamsifie
Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ngombe
Skuizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe
Mama Tete kitandani hawezi ata kutembea
Zuwena ameshindwa ata kuja kumuona, Panadol kumletea
Natamani ungemuona (Zuwena)
Japo ungemuona (Zuwena)
Kidogo tu ungemuona (Zuwena)
Ungemuoona (Zuwena)
Oh, ungemuona (Zuwena)
Ah, zuwena (Zuwena)
Ooh, ungemuonaa (Zuwena)
Zuwena, ooh
Skuizi kataradadi
Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
Anajiita J.Lo
Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
Eti mzungu mweusi
Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
Na anatunyoosha baba
Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
静态缩略图占位符