Billnass Feat Jay Melody - Puuh (Official Music Video)
4:02
YouTubeBillnass
Billnass Feat Jay Melody - Puuh (Official Music Video)
#Billnass #JayMelody #Puuh (C) Nenga SMS VCT 11035447 To 15577 Vodacom Tz SMS [Skiza 8091897] to 811 DIRECTED BY HANSCANA Billnass Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: https://ffm.to/billnass Written & Performed by Billnass & Jay Melody For Booking : [email protected] - Contact: +255 713 84 10 47 or +255 782 84 10 47 Follow Billnass ...
已浏览 1569.3万 次2023年1月30日
歌词
Jay once again (S2kizzy baby)
Mm-hmm (Nenga)
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Hi! Wacha niseme kitu boo
Siwezi kukutoa machozi maana mi' sio kitunguu
Kila siku kwetu sikukuu
Valentine sio issue kwetu si' ni siku tu!?
Najua unapenda zawadi ma-gift
Na ndo' maana work hard niku-fix
Iwe shida ya mavazi, chakula na maradhi
Sometimes niko radhi niji-risk
'Nachofurahi hata nikikosa unaniombea kwa Mungu
Wapo wal'owahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka longtime ilivyokua hard time (hard time)
Kabla hujanitoa kwa ukungu
U'shaambiwa maneno shazi
U'shaambiwa mi' sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
U'shaambiwa maneno shazi
U'shaambiwa mi' sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Cheki ulivyopinda, ukivaa unapendeza
Timu i'shakuamini chagua namba utayocheza
Macho ya kichokozi yani kama unakonyeza
Spending money for your love kwako nawekeza
Zuzu, zuzu, ushanizuzua
Nishakuvisha vyeo na hakuna hatakae kuvua
Na kitu usichojua hata wakisema unajiuza
Waambie mi' nd'o ninaekununua
U'shaambiwa maneno shazi
U'shaambiwa mi' sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
U'shaambiwa maneno shazi
U'shaambiwa mi' sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Mm-hmm, mm-hmm
Mm-hmm, mm-mm-mm
Mm-hmm, mm-hmm
Mm-hmm, mm-mm-mm (Kamix lizer)
静态缩略图占位符