
Pre GE2025 - Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu ...
2025年3月18日 · Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.
Viatu na Matumizi Mbalimbali - JamiiForums
2014年5月18日 · Viatu hivi vinapendeza kuvaliwa na nguo yoyote ila ikiwa ya urefu wa wastani ni nzuri zaidi maana huwezesha kuonekana urembo na uzuri wote wa kiatu. Viatu hivi vinakuja katika mitindo mbalimbali na unachagua ule ambao wewe unaupendelea zaidi mfano vyenye visigino vyembamba, visigino vinene au aina ya ‘wedges’. 3.Viatu vya wazi vifupi
Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani …
2025年3月10日 · Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537 View attachment 3265539
Niulize chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume
2014年1月1日 · Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana. Ok Tuingie kwenye mada moja kwa moja Pengine ulishatamani sana kufanya biashara ya viatu ila haujui uanzie wapi. USIJALI
Balo la viatu vya Mtumba - JamiiForums
2021年5月3日 · Hadi na leo hiii na point viatu vya mwanangu, ni viatu ambavyo akivaa mtoto lazima uhisi ni toto la kishua,hadi leo hiii na point viatu vyangu binafsi nikiona tu nimeishiwa Nadamka siku 1 nawahi location nakuta nishaandaliwa mzigo wangu,nabeba nasepa. KWANINI NAKUSHAURI KU POINT?
Balo la viatu vya Mtumba | Page 2 - JamiiForums
2013年4月29日 · Last week nilikwenda Mwanza kuulizia kuhusu Viatu Jamaa mmoja akaniambia kufungulisha baloo grade 1 unatakiwa uchague pea zisizo pungua 30 na kila pea moja ataniuzia 12,000/pea Ukichukua 30*12,000=360,000/= Nikaona isiwe tabu nikaja kwa mshikaji wangu anauza Viatu pia nikaomba ushauri alichonijibu nikashangaa Sana
Natafuta marafiki wanaofanya biashara ya viatu vya mtumba
2024年3月18日 · Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya ku-pin-point(chambuu/kusagura) viatu karume. Bado sijafika hatua ya kununua Belo Zima. Najua biashara ukiachilia mbali changamoto lakini pia zina siri nyingii sana na codes, ambazo kuzijua inahitaji kuwa karibu na wazoefu.
Fursa biashara viatu vya kiume - JamiiForums
2023年8月31日 · Boss samahani kama naharibu biashara . I was into nikuagize ila hizi bei. Mbona ghali sana kwa kuagiza. Unaweza review bei zako, haswa kwa dizain ya viatu vyako. Maana atleast mtu aweke dukani auze kwa 15,000. Or badrisha supplier.
Zifahamu faida za kutembea ardhini bila kuvaa viatu
2018年8月20日 · 7. Kutembea bila viatu kwenye ardhi hasa ya moto wakati wa jua husaidia mzunguuko wa damu (perfusion) kwenye viungo vyote vya mwili, hivyo kuongeza uwezekano wa kuepula kupata magonjwa ya figo, pressure, kisukali. 8. Kutembea peku ardhini kunakufanya uonje uhalisia wako wa kuwepo duniani. 9.
Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala …
2022年5月17日 · HIVI NDIVYO TUNAVOCHEAT, PALIPO NA VIATU VYA MUMEWE KUNA NDALA ZANGU story ya kweli kati yangu Hovering na Recho ambaye ni mke halali wa mtu. Nimeileta kwenu kama sehemu ya kuonesha nini kinatokea linapokuja suala la kutoka nje ya Ndoa iwe kwa maksudi au bahati mbaya.