
Historia ya Taarabu nchini Tanzania - JamiiForums
2019年10月7日 · Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es Salaam,Taarab ya Zanzibar na Taarab ya Mombasa. Taarab ya Zanzibar wakati huo ilikuwa ni ile yenye kundi kubwa la wanamuziki, kwa kufuata mfumo wa muziki huo kama ulivyokuwa ukipigwa huko Misri.
Wadau wa taarabu mnisaidie majibu ya maswali haya
2024年4月28日 · 2.Embu jaribu kuimba taarab kuhusu Kilimo kichwani mwako,au Jaribu kuimba taarabu kuhusu Rushwa,unapata taste gani? Kwanini nyimbo nyingi za RnB ni mapenzi? 3.Waimbaji wa Taarabu wengi unaona ni wanene sababu wengi ni kina mama watu wazima,umri umeenda,miili ya kibantu unaijua.
Muziki wa taarabu ulipotokea hadi kufika Afrika ya Mashariki
2024年9月13日 · Na wanamuziki wa taarabu kwa sasa na hata hapo awali wanaheshimika na kujipatia mafanikio makubwa katika maisha yao. Mafanikio hayo yanakuja Kutokana na kuwa na mashabiki Wengi ambao hugharamia kununua CD za mziki wa taarabu au wakati mwingine kuhudhuria matamasha ya mziki wa taarabu.
Ninaomba kujuzwa vipindi vya Taarabu asilia - JamiiForums
2021年5月12日 · Habarini ya jumapili. Mimi ni mpenzi sana wa muziki wa taarab asilia. Kwa tafsiri nyepesi, taarab asilia ni muziki wa taarab ulioanza toka miaka ya 1940 hadi hadi miaka ya 1990 mwishoni au 2000 mwanzoni. Taarab hii sifa zake: kimidundo ni kuwa taratibu (low tempo) na kupigwa kwa vyombo halisia...
Muziki wa taarabu....!! - JamiiForums
2008年10月18日 · Mimi binafsi si mpenzi wa muziki wa taarabu lakini nimekuwa nikiufuatilia kwa muda sasa...Kitu kinachonivutia ni lugha ya picha ambayo inavutia sana endapo mtu unapata nafasi ya kuitafakari!! Nimejaribu kuvuta kumbukumbu zangu, na kukutana na baadhi ya miziki ambayo kweli inavutia!! Naweka hii...
Ninaomba kujuzwa vipindi vya Taarabu asilia - JamiiForums
2011年8月27日 · Taarabu za zamani ni adhimu sana zinafaa kusikilizwa na rika zote. Mtu muungwana na mwenye sikio la kusikiliza genre tofauti ni rahisi kuvutiwa nazo. Reactions: Naughty by nature , wangatala and Carasco Putin
Balozi Seif Ally Iddi; Leo kutakuwa na tamasha la taarabu kwa …
2015年10月8日 · Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.? Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu. Kama ni...
Natafuta Nyimbo za zamani za Taarab - JamiiForums
2014年3月14日 · usichokoze mapenzi, kwani ni khatari sana. wengine hamuyawezi kwa fani hiyo hamna, waloyaanza kwa enzi wapita wakisonona. kiitikio. wako wengi wamekonda ijapokuwa vizungu, kwa kila mwenye kupenda ajue ana donda ndugu. beti ya pili. seuze wenye pumzi na hali zilizonona wakijifanya wajuzi kwa maneno ya kunena wakiyapanda mabenzi na ndege kila aina. ah othman sood na muungano hiyo.
Muziki wa taarabu wa zamani Vs taarabu ya sasa.....!!!! - JamiiForums
2011年3月23日 · Taarabu ya zamani mtu ulikua unapata ladha halisi ya mwambao kutokana na ala za muziki walizokua wanazitumia na pia nyingine zilikua zinatoa mafunzo. Ila mziki huu kwa sasa si mziki tena, ni majanga. Tangu walivyo introduce viduku kwenye taarabu, na mipasho kuongezeka basi ile ladha halisi ya zamani ni aghalabu kuipata.
taarabu hii inaitwaje nimeishahau - JamiiForums
2014年5月9日 · Taarabu napendea pale wanawake wanavyokata miuno feni dah yaan naweza honga laki . Babake Manyota New ...