
SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS …
2024年8月11日 · Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo hazikuwepo hapo awali. Rais wetu Dkt.
DOKEZO - Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga (Dar) wanaenda na …
3 天之前 · Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia. Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
Kilimanjaro; Maajabu; shule ya Serikali yakutwa na idadi ya …
2025年2月26日 · Shule ya msingi Mlembea iliyopo wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ina jumla ya wanafunzi 62 tu shule nzima. Idadi ya wanafunzi kuanzia la kwanza hadi la saba idadi yao ni 62 pekee. Ambapo darasa la saba lina wanafunzi 6 tu. Baadhi ya wazazi ambao watoto wao wanasoma shuleni hapo wamesema ya...
Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata …
2025年3月23日 · SHULE ya Msingi Nkweshoo iliyoko Kijiji cha Nkuu Ndoo, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ambayo ina walimu watatu pekee wanaofundisha wanafunzi 175, walimu wote wameandika barua ya kuomba uhamisho. Walimu hao wanadaiwa kutoridhishwa na vitendo vya baadhi ya wazazi kutaka shule hiyo, wanafunzi wake wafundishwe na walimu wazawa.
Barua ya wazi kwa Rais Samia; Uduni wa matokeo kidato cha nne …
2023年10月9日 · 1. Shule ya Sekondari Chamazi hapo jijini Daresalaam yenye wanafunzi 2,800 ina mwalimu 1 tu wa somo la kiingereza. Wanafunzi 409 kati ya 624 waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2024 kwenye hii shule walipata division four na zero. 2. Shule ya sekondari Mbande yenye wanafunzi 2,426 hapo hapo jijini ina walimu wanne (4) tu wa somo la kiingereza.
Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa ...
2013年7月22日 · Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182 waliotoka kwenye shule za Kanisa, asilimia 97.72 walipata daraja la kwanza hadi la tatu, huku asilimia 0.04...
Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda …
2025年3月16日 · Habari wakuu Msaada wenu, nina binti yangu Umri miaka 5, hataki kutumwa, hasalimii watu tushamfunza sana kusalimia watu lakini wapi hataki Ukimkataza kitu haelewi atafanya ulichomkataza, kaanza shule ila asubuhI hataki kabisa kwenda shule hadi umchape, hata ukimuelekeza kwa upole au huku...
Ukitafakari mazingira anayopitia Mwalimu kwenye baadhi ya Shule …
2025年2月28日 · Mimi Naona Serikali Ukiachilia Mshahara kidogo Anaolipwa Mwalimu ambacho ni kilio cha Wafanyakazi Wengi, naona serikali bado inamjali Mwalimu Ukilinganisha na Baadhi ya Shule za Binafsi ambako Mwalimu Anaendeshwa navkufanyishwa kazi …
Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza
2025年2月25日 · Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki Julai, 2016. Rais Samia amwagiza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi kupeleka Kliniki ya masuala ya Ardhi Kilindi ili …
School Buses: Shule za Msingi na Sekondari za Serikali
2017年7月26日 · Ikiwapendeza tunaomba huduma ya Usafiri kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari za Serikali nchi nzima haijarishi Jiografia ya eneo. Watoto wanateseka sana na usafiri hasa kutoka maeneo wanakoishi mpaka shule wanakosomea. 1. Kila Kata pawe na Basi 4 za kutoa huduma za Usafiri kwa Wanafunzi wa Shule za Serikali pekee.