
Pre GE2025 - Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu ...
2025年3月18日 · Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.
Viatu na Matumizi Mbalimbali - JamiiForums
2014年5月18日 · Viatu hivi vinapendeza kuvaliwa na nguo yoyote ila ikiwa ya urefu wa wastani ni nzuri zaidi maana huwezesha kuonekana urembo na uzuri wote wa kiatu. Viatu hivi vinakuja katika mitindo mbalimbali na unachagua ule ambao wewe unaupendelea zaidi mfano vyenye visigino vyembamba, visigino vinene au aina ya ‘wedges’. 3.Viatu vya wazi vifupi
Niulize chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume
2014年1月1日 · Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana. Ok Tuingie kwenye mada moja kwa moja Pengine ulishatamani sana kufanya biashara ya viatu ila haujui uanzie wapi. USIJALI
Balo la viatu vya Mtumba - JamiiForums
2014年12月14日 · Hadi na leo hiii na point viatu vya mwanangu, ni viatu ambavyo akivaa mtoto lazima uhisi ni toto la kishua,hadi leo hiii na point viatu vyangu binafsi nikiona tu nimeishiwa Nadamka siku 1 nawahi location nakuta nishaandaliwa mzigo wangu,nabeba nasepa. KWANINI NAKUSHAURI KU POINT?
Naomba kujua kiundani kuhusu biashara ya viatu vya mtumba
2020年11月15日 · Wakuu mimi ni kijana ambaye kwa sasa nataka kuingia mtaani na kuanza kujiajiri na nimefikiria kuhusu biashara ya viatu vya mtumba na mzigo nimepanga niwe nachukulia MBEYA naombeni kujua kwa wote wenye idea na uzoefu wa biashara hii uzur wake ubaya wake mtaji wake na wateja wake wanapatikanaje...
Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani …
2025年3月10日 · Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537 View attachment 3265539
Zifahamu faida za kutembea ardhini bila kuvaa viatu
2018年8月20日 · 7. Kutembea bila viatu kwenye ardhi hasa ya moto wakati wa jua husaidia mzunguuko wa damu (perfusion) kwenye viungo vyote vya mwili, hivyo kuongeza uwezekano wa kuepula kupata magonjwa ya figo, pressure, kisukali. 8. Kutembea peku ardhini kunakufanya uonje uhalisia wako wa kuwepo duniani. 9.
Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala …
2022年5月17日 · HIVI NDIVYO TUNAVOCHEAT, PALIPO NA VIATU VYA MUMEWE KUNA NDALA ZANGU story ya kweli kati yangu Hovering na Recho ambaye ni mke halali wa mtu. Nimeileta kwenu kama sehemu ya kuonesha nini kinatokea linapokuja suala la kutoka nje ya Ndoa iwe kwa maksudi au bahati mbaya.
Uturuki: Viatu : Raba, Simple na Sandals - JamiiForums
2014年7月8日 · Kwa mahitaji ya shopping ya nguo za watoto, viatu vya kike, mikoba na perfumes kutoka Uturuki Tucheki "turkish_designs_wears" IG na Facebook Kwa jumla na Rejareja Tupo Tandika Plaza View attachment 1510520 View attachment 1510522 View attachment 1510523 View attachment 1510524 View attachment 1510525 View …
Msaada: Wafanyabiashara ya viatu, nguo za ndani Kariakoo
2019年3月29日 · I. Viatu simple na slippers ii. Nguo za ndani, yaani chupi, boxer night dress n.k iii. Body spray. Kwa uzoefu wangu, nimefika dar, Mara kadhaa na nikapata simple kwa 5500-5800 kwenye hayo maduka ya wachina. Lakini zile slippers ndio sijui kabisa zinapatikana wapi! Maduka ya nguo za ndani nalifaham moja lkn ninaimani yako mengi na Bei tofauti.