
Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji
2011年6月15日 · Nguruwe huyu ni vizuri awe amezaliwa na mama anayezaa watoto wengi, mwenye kutoa maziwa mengi na mtunzaji mzuri wa watoto. Tabia hizi zinarithiwa hata navizazi vingine vijavyo. Vile vile awe na afyanzuri na chuchu nyingi zisizopungua 12. Nguruwe jike anaweza kuzaa akiwa na umri wa miezi mitano hadi sita.
Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji
2009年10月27日 · Tambua mahitaji ya chakula ya nguruwe (protein,wanga,mafuta,madini,vitamin) na hakikisha mchanganyiko unaofaa kwa umri husika wa nguruwe.Shambani kwangu chakula kikuu ni mahindi/mtama,pumba za mahindi na mpunga,mashudu ya alizeti, ambayo tunalima hapo shamba.Pia huchanganya madini (nguruwe mix) na mifupa/chokaa
Mradi mdogo wa nguruwe - JamiiForums
2020年5月17日 · Nguruwe mwenye umri wa miezi 6 huweza kuuzwa au kuchinjwa kwaajili ya nyama Kuuza kwa jumla akiwa mzima > Ndani ya watoto 25 unauwezo wa kuuza nguruwe 20 Nguruwe mmoja huweza kuuzwa 370000 , 370000 x 20 = 7,400,000 Kuuza kama nyama Nguruwe wa miezi 6 unauwezo wa kupata nyama kilo 90 Kilo 90 kwa nguruwe 20 ni kilo 1800
Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji
2009年10月27日 · Nguruwe wa miezi 6 anaweza kukuingizia tshs.200,000-300,000 kutegemea na namna ulivyouza na uzito 9.Unaanzaje kufuga kibiashara? Mfano. (a) Faida ndani ya miezi 6,na kuuza nguruwe 20 kila mwezi. Nunua nguruwe jike wenye mimba uzao wa 2 ; wa2 mimba miezi 3;wa2 miezi 2 na wa2 mimba mwezi1,wa2 ambao …
Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji
2009年10月27日 · Hakika jukwaa hili ni SULUHISHO,, mimi ni ufugaji wa nguruwe nimeanza mwaka huu mwezi wa 5 na nimeanza na majike 25 tayari 10 wana mimba ,, nategemea kuuza nguruwe 100 kila mwezi wadogo kwa wakubwa,, nina eneo la hekari mbili maeneo ya kerege bagamoyo,, nimelima migomba, maboga kwa ajili ya chakula cha ziada, nawapa mchanganyiko wa Pumba za mchele, pumba za mshindi, mashudu ya alizeti, chumvi ...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya …
2024年10月17日 · Kiufupi nimekuja kuhitimisha mapepo yanapenda sana nguruwe. Kuna uhusiano mkubwa kati ya ulaji wa nyama ya nguruwe na mapepo au majini. Mahali ambapo kuna mkusanyiko mkubwa wa nguruwe kuna uwezekano mkubwa kuwa na shughuli za hawa viumbe. Jiepushe na vitu ambavyo majini na mapepo yanaona …
Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, …
2025年3月11日 · "Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu." 2. Kumbukumbu la Torati 14:8 "Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao." 3. Isaya 65:2-4
Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai - JamiiForums
2025年3月27日 · Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45. **Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo, 1. AFYA: Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis). 2.
nguruwe - JamiiForums
2014年1月22日 · Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na...
Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji
2009年10月27日 · Muhimu:nguruwe alie kufa kwa kimeta usimshkew kabsa kwa sababu hata binadamu anaupata huu ugonjwa, chimba shimo mbali na watu mwagia mafuta ya taa ndani ya hilo shimo kisha fukia mzoga., dalili ya nguruwe alie kufa kwa kimeta damu hua aigandi na pia hata nzi hawasogei kwenye mzoga kwa hiyo kua makini. AINA ZA NGURUWE Largewhite