
nape nnauye - JamiiForums
2025年2月24日 · Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015. He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of ...
Nape Nnauye: An exemplary leader! - JamiiForums
2014年10月20日 · Nape ameonyesha jinsi ambavyo amekuwa consistent katika suala zima linalo mkabili Makonda. Kama tungekuwa na viongozi kama Nape, kutokubali kuwa waoga hata pale wanaofanya madudu katika maeneo yao ya utawala ni wakubwa, tungekuwa mbali kiuwajibikaji.
Pre GE2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura …
2023年11月17日 · Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema video inayosambaa ikimuonyesha akisema kuna mbinu nyingi za CCM kushinda uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na hakuwa na maana iliyotafsiriwa na watu wengi. Kauli ya Nape kuhusu bao la mkono soma: Nape: CCM...
Nape Nnauye uliweza kumuangukia Hayati Magufuli; ni wakati wa ...
2021年7月10日 · Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai wa Rais atakayekuwa madarakani. Sihitaji kujua kama Msajili wa vyama vya siasa alikuwapo ama lah...
Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi
2017年4月18日 · Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
Pre GE2025 - Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa …
2024年7月17日 · Muktadha wa kauli hiyo ilikuwa ni kuwahakikishia ushindi wa Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2025, Nape ambaye kwa sasa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema: “Unajua nyie sikilizeni, matokeo ya kura sio lazima yawe ya kwenye …
Pre GE2025 - Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa …
2024年7月17日 · View attachment 3044480 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi, bali kuna njia nyingine zikiwemo alizosema za haramu.
Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye - JamiiForums
2013年2月22日 · Baba mzazi wa Nape ni Moses Nnauye (marehemu) ambaye alistaafu utumishi wa umma akiwa Brigedia Jenerali wa Jeshi. Asili ya baba yake Nape ni mkoa wa Lindi, yeye ni Mmakonde wa Chiuta, Nyangamara. Mzee Nnauye ni mmoja kati ya wanasiasa mashuhuri wa kizazi kinachoondoka, kazi yake ya kwanza ilikuwa ni “ukuli” wa bandari ya Lindi na Mtwara.
Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye
2012年2月24日 · Lakini kubwa zaidi inaonyesha Nape Moses Nnauye hakusoma Butimba TCC elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne bali alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo. Pichani ni tovuti ya Bunge kuhusu elimu ya Nape Moses Nnauye, picha ya pili ni kuhusu usajili wa Sekondari wa Butimba Day mwaka 2000.
Tumkumbushe Nape Nnauye alikopitia mpaka alipofikia na …
2015年11月28日 · Nape Nnauye ni mwasiasa kijana, hakuna atakayepinga kuwa Nape amesaidiwa sana na mzee JK mpaka kufika hapo alipo, sasa tumkumbushe mapito yake Nape alikuwa pale makao makuu ya UVCCM, Lowassa alipotenguliwa Nape alikuwa mstari wa mbele kumtukana Lowassa Baada ya matusi kuzidi mzee Makamba...