
Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA
Mar 14, 2025 · Wanabodi Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa ready made za made in Tanzania" badala ya kushobokea nguo kutoka nje ya nchi, cheap imports, huku wenye kipato kidogo, kuishia mtumbani au cheap imports from China!.
Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke - JamiiForums
Jan 21, 2025 · Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati 22:5 “ Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo NI ...
Lissu na Heche wanatakiwa kuelimishwa protocal za mavazi
May 16, 2015 · Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
Tofauti kati ya nguo na mavazi Kibiblia - JamiiForums
Dec 17, 2023 · (Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.) Ufunuo wa Yohana 16:15 Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri, na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya uchi wako isionekane, na dawa ya macho ya kujipaka macho yako, …
Mavazi gani ya mwanamke yanahesabiwa ni mavazi ya kujisitiri …
Mar 25, 2025 · Mavazi yanayofunika mwili na yasiyochora maumbile ndiyo mavazi ya kujistiri , huyo kwenye picha katika ...
Wakatoliki Tujifunze: Baadhi ya mavazi ya Askofu na maana yake
Apr 13, 2008 · Tumsifu Yesu Kristu! Tumekuwa tukiwaona MaAskofu wetu wakiwa ndani ya Baadhi ya Mavazi ambayo mara Pengine wengine Hatuyafahamu, Basi Haya na Ndiyo Maelezo ya kila Vazi! 1. Pete ya Askofu (Episcopal ring) Hii huvaliwa na Askofu katika “kidole cha pete cha mkono wa kulia” (kidole cha pili...
Haimpasi Mwanamke Kuvaa Mavazi Yampasayo Mwanaume.
Dec 29, 2013 · Naona hujalipata neno lililotoka madhabahuni, mavazi ya kiume yaliyomaanishwa hapa sio suruali na kaptura au kunyoa kiduku na bali ni hali ya mwanamke kubeba na kufanya majukumu ya kiume ambapo mwanaume kwenye familia anakuta mwanamke ameshafanya kila kitu, mwisho mwanamke anaanza kuwa na kibesi kwenye familia.
Wakatoliki Tujifunze: Baadhi ya mavazi ya Askofu na maana yake
Dec 17, 2013 · Tumekuwa tukiwaona MaAskofu wetu wakiwa ndani ya Baadhi ya Mavazi ambayo mara Pengine wengine Hatuyafahamu, Basi Haya na Ndiyo Maelezo ya kila Vazi! 1. Pete ya Askofu (Episcopal ring) View attachment 850469 Hii huvaliwa na Askofu katika “kidole cha pete cha mkono wa kulia” (kidole cha pili kutoka kushoto).
Utumishi watoa waraka wa mavazi kwa watumishi wa umma
Jul 6, 2019 · Wizara ya utumishi wa umma imetuma waraka unaotoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wote wa ofisi za umma na wananchi wote wanaohitaji huduma ktk ofs hizo. Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi wa mwaka 2007 unawatka wafanyakazi wote wa ofisi za umma na wananchi wote kutokuvaa mavazi yafuatayo:--Jeans-Nguo zenye maandishi yoyote
Mavazi gani mtu mnene akivaa anapendeza? - JamiiForums
Mar 13, 2023 · Epuka mavazi yenye ukubwa mdogo au yenye urembo mwingi kwani yanaweza kusababisha kukosa kujiamini na kuharibu muonekano. Chagua vitambaa vyenye kustahimili mafuta - Vitambaa vyenye kustahimili mafuta kama vile pamba, denim, na lineni ni vizuri kwa watu wanene kwani vinaweza kusaidia kuficha maeneo yasiyopendeza.