
mapumbu in English - Swahili-English Dictionary | Glosbe
Check 'mapumbu' translations into English. Look through examples of mapumbu translation in sentences, listen to pronunciation and learn grammar.
MAUMIVU YA PUMBU/MAPUMBU: Dalili, sababu, matibabu, Nini …
2021年11月7日 · MAUMIVU YA PUMBU/ MATUMBU#Dr_Mniko anazungumza kuhusu tatizo la MAUMIVU YA PUMBU/MAPUMBU katika mfululizo wa NINI UNACHOWEZA KUFANYA, Endelea kutufuatiliaSHU...
mapumbu - Wiktionary, the free dictionary
2024年7月20日 · This page was last edited on 20 July 2024, at 07:19. Definitions and other text are available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License; additional ...
Maumivu ya Korodani/pumbu, chanzo, dalili na ushauri nini cha …
2021年1月5日 · Maumivu ya korodani yana vyanzo mbalimbali, lakini maumivu sugu ni yale yanayochukua takriban zaidi ya miezi mitatu. Maumivu makali na ya ghafla huwa hayavumiliki na huwa na tiba ya dharura. Maumivu haya sugu huwa kwa kipindi fulani hasa kwa wanaume ambao wametoka kufunga uzazi Vesectomy lakini baadaye hupoa.
MARADHI YA AJABU: Jinsi ugonjwa wa mapumbu/ngirimaji
2019年12月16日 · #Kenya #KTNNews #KTNPrime Ugonjwa wa mapumbu au ngiri maji unaendelea kuwa tishio la kiafya kwa wanaume wengi eneo la pwani na zaidi kaunti ya Kilifi. Katika...
Fahamu kuhusu Mabusha (Hydrocele) - JamiiForums
2009年2月3日 · Ultrasound ya kinena pamoja na mapumbu: Aina hii ya kipimo hufanywa ili kuchunguza uwepo wa matatizo mengine tofauti na mabusha. Matatizo hayo ni kama vile ngiri, uvimbe, kujinyonga kwa korodani (testicular torsion), majeraha katika korodani, damu kuvuja kwenye kwenye korodani (traumatic hemorrhage) au maambukizi. Matibabu ya Mabusha
Ujuwe Ugonjwa wa Busha - Muungwana BLOG
2016年12月31日 · Muhusika kujihisi hali ya uzito na kuvuta sehemu za siri kutokana na kujaa na kuongezeka kwa uzito wa mapumbu. Mgonjwa huweza kujihisi hali ya usumbufu na kutojisikia vizuri maeneo ya kinena mpaka mgongoni.
Je, unaujua ugonjwa wa busha (hydrocele) | JamiiForums
2019年7月21日 · Ultrasound ya kinena pamoja na mapumbu: Aina hii ya kipimo hufanywa ili kuchunguza uwepo wa matatizo mengine tofauti na mabusha. Matatizo hayo ni kama vile ngiri, uvimbe, kujinyonga kwa korodani (testicular torsion), majeraha katika korodani, damu kuvuja kwenye kwenye korodani (traumatic hemorrhage) au maambukizi.
Msaada: Tiba ya michubuko - JamiiForums
2014年11月28日 · Naomba niulize kitu kuna ugonjwa wa kuchubuka mapaja kati ya mapumbu na mapaja yaani mapaja yanakuwa kama yameungua na moto hivi alafu kunakuwa na kaarufu fulani hivi, najua humu ndani kuna maprofesa, madaktari, na wengine wengi. Tafadhali naomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa na hata ushauri wa sababu inayofanya utokee hasa huu ugonjwa.
Maumivu ya pumbu - ULY CLINIC
Maumivu ya korodani (pumbu) ni maumivu yanayoweza kutokea kwenye korodani moja au zote mbili, maumivu hayo chanzo chake kinaweza kuwa ni kwenye korodani, au sehemu nyingine mwilini. Visababishi.
- 某些结果已被删除