
Kisa cha Kariakoo Derb Yanga kwenda CAS inaelekeana na kisa …
2025年3月20日 · Kitendo cha Yanga kwenda CAS kudai pointi tatu za Mezani, inaturudisha nyuma hadi mwaka 2018 walipofanya hivyo Boca Juniors ya Argentina waliokuwa na mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Amerika ya Kusini dhidi ya River Plate pia ya Argentina Timu hizi zenye Upinzani wa muda muda mrefu kama...
Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia
2025年2月7日 · jamani nahitaj msaada wa mawazo yenu wana jamii nahitaji kwenda Zanzibar kuishi na kufanya maisha yangu uko je nifikie wapi maana sina ndugu wala rafiki huko na maisha ya huko yapoje? Msaada wana jamii wenzangu bado …
CHADEMA kwenda kwa Raila Odinga ni kukosa mwelekeo?
2025年3月23日 · Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa. Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake...
Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda
2018年1月26日 · Habari wakuu Msaada wenu, nina binti yangu Umri miaka 5, hataki kutumwa, hasalimii watu tushamfunza sana kusalimia watu lakini wapi hataki Ukimkataza kitu haelewi atafanya ulichomkataza, kaanza shule ila asubuhI hataki kabisa kwenda shule hadi umchape, hata ukimuelekeza kwa upole au huku...
TANESCO na Msigwa mtuambie kwanini umeme wa Tanzania …
2010年2月15日 · Na kumbuka kwamba source ya umeme toka Ethiopia iko mbali zaidi ya source yeyote ya umeme ndani ya Tanzania kwenda mikoa ya kaskazini. Kama transmission losses zinaendana na umbali, basi gharama ya transmission losses ya kuleta umeme toka Ethiopia yapaswa kuwa kubwa zaidi (angalia ramani hapo chini)
Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6
2025年3月18日 · Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili. Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la...
Waziri Mkuu yupo sawa kuwashauri wahitimu wa degree kwenda …
2025年2月3日 · Hao waliosoma PCM na kwenda vyuoni wapo wengi sanaaaa, ajira ni chache sanaaa, maamuzi sahihi ni kujiongeza mapema. Huwa nashangaa hao wanaosoma PCM wanashindwaje kutumia basic probability kwamba probability ya kujitegemea kwa ajira ni ndogo ni 0.2, probability ya kujitegemea kwa ujuzi / biashara …
Badala ya vijana kwenda JKT kwa mujibu wa sheria ... - JamiiForums
2025年3月15日 · Vijana wanapaswa kwenda VETA ila sio kutokea chuo kikuu, wanapaswa kwenda VETA wakitokea kidato cha nne na sita. Serikali badala ya kupeleka vijana JKT kufundishwa kile kinachoitwa uzalendo huo muda wawapeleke VETA ndipo wakitoka hapo waende vyuo vikuu, hapo watakuwa wanasoma huku wakifanya hata kazi za kujiingizia kipato.
Unapohama kutoka taasisi moja ya serikali kwenda nyingine …
2019年6月23日 · Mwisho naomba unipe mbinu ya kuhama idara kwenda nyingine. Click to expand... Mkuu suala la uhamisho japo ni haki ya mtumishi ila maafisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi hata wakuu wengine wa idara za serikali wanabana Sana ikiambatana na roho mbaya katika kupitisha barua za watumishi hasa ukiwa unahamia taasisi yenye maslahi zaidi, Kuna ...
Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua …
2025年2月26日 · Yatima wawili wanatoroka kwenye nyumba ya kulelea watoto yatima kwenda kupambania ndoto zao kilichotokea ni burudani sana.Ujasiri 4:Zeus (The rolex maker). Kijana anakata miti ovyo ili kutengenezea mavazi, kakata miti sana , katengeneza pesa sana, tatizo linatokea pale anapokata mti wa mwisho na kugundu kaharibu mazingira mno.