
Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais …
2017年6月4日 · Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025 Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema ""Dkt.
Kwa kauli hii ya Zelensky kuhusu misaada ni wazi kuwa upigaji na ...
2025年2月5日 · Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump. Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine. Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni...
Pre GE2025 - No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha …
2020年5月21日 · Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa. Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa Watanzania kutoka katika lindi la umasikini kwa kura halali ambazo zitasimamiwa na watu ambao hawajateuliwa na Rais wa …
Nilianza kuwa na ukakasi dhidi ya AI pale mmoja wa wahasisi wa …
2023年6月19日 · Mwamba anasema AI inaweza hivi karibuni kushindana au kuzidi akili ya binadamu katika nyanja mbalimbali. itafika wakati kuwa AI itagundua namna ya kuua mtu Hinton ameonya kwamba kadri AI inavyokuwa na uwezo zaidi, inaweza kushinda udhibiti wa binadamu, na hivyo kusababisha hali ambapo binadamu atakuwa hana umuhimu.
DOKEZO - Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa …
2024年2月26日 · Wakuu kuna vitu serkali inawafanyia wananchi wake unabaki na maswali mengi sana yasiyo kuwa na majibu. Inawezekana vipi shamba langu limegundurika kuwa lina madini kama dhahabu,shaba,chuma na ulanga bei ipangwe na serikali kuwa hawa wenye mashamba tutawapa kila heka m5(mfano) bila kuwa husisha wananchi wenyewe?
SI KWELI - Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo
2025年3月8日 · Kumekuwapo na barua inayosambaa inayoonesha kuwa bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) wamejibu Taarifa kwa umma iliyotolewa na timu ya Simba Sporst Club, ambapo pamoja na mambo mengine barua hiyo ya bodi inaeleza kuwa imeona malalamiko ya Simba lakini wanaagiza mchezo huo uendelee kama ulivyopangwa kuheshimu ratiba ya ligi.
Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna …
2008年5月31日 · Watu wanapaswa kufahamu kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani ndani ya mwili kama vile mzio, matatizo ya ngozi au sumu ya mimea au wadudu ambao wanakawaida hiyo. Mara nyingi muwasho sehemu za siri unaosababishwa na kitu huisha wenyewe au muda mfupi baada ya kitu hicho kikiondolewa.
Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri
2013年11月12日 · Tatizo la uke kuwa mkavu linawakumba sana watu waliofikia ukomo wa hedhi (Menopause) Kutokana na sababu kwamba mwanamke anapofikia kipindi hiki mwili unapunguza au kuacha kutengeneza hormone hii ya estrogen. Hali hii hupelekea kuta za uke kuwa nyembamba na hazivutiki tena hali ambayo kitaalamu inajulikana kama Vaginal Atrophy.
Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki? | Page 5 | JamiiForums
2025年3月10日 · Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya wanaume 10, 9 wanachepuka nnje yaani wanaume hawanaga mwanamke mmoja na huwa inaaminika wanawake ndio wametulia zaidi kwenye ndoa na wanaume huamini ...
Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, …
2012年11月1日 · Hivyo ukitaka kuwa na matokeo mazuri kwenye ndoa yako, jitahidi sana kujiweka vizuri kwa kula sahihi na kufanya mazoezi mepesi mepesi tu kwa wale wanaoweza kuutumia muda vizuri wapiti pite Gym walau siku mbili na kuendelea kwa wiki. Kufahamu kuwa kupumzika kwa uume baada ya baada kufika mara ya kwanza sio tatizo.