
Namna ya kuswali | MUONGOZO Mwepesi WA MUISLAMU
Maana yake ni: Ninaanza (kuswali) nikiomba msaada na nikiomba baraka kwa jina la Allah. Atasoma suratul faatiha ambayo ni sura tukufu sana katika kitabu cha Allah. Allah amempa Neema Mtume wake kwa kuiteremsha sura hii na kusema kwamba: «Na, kwa yakini kabisa, tumekupa wewe aya saba katika aya zinazokaririwa, na Qur’ani Tukufu».
Jinsi ya Kuswali kwa Waislamu - sw.maishahuru.com
1 天前 · Jinsi ya kuswali kwa Waislamu ni mchakato wa kiroho na wa kimwili unaohitaji umakini na kujitolea. Kwa kufuata hatua za msingi, kuzingatia maadili, na kuwa na mpangilio mzuri, unaweza kufanikisha ibada hii kwa usahihi na kwa furaha. Swala ni nguzo muhimu ya Uislamu na inasaidia katika kuimarisha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu.
Namna ya kuswali-swalah katika uislamu
Vitambulisho: Namna ya kuswali Jinsi ya kuswali Swala namna ya kuswali na dua zake dua baada ya swala Yanayo faa, na yanayo chukiza, na yale yanayo vunja Swalah swalah
Kuswali Swala tano za kila siku kulingana na madhehebu ya Shia Ja’fariyya ni kuswali kulingana na utaratibu (tartib ) na kuzifuatanisha, pasi na kuchelewa kati yazo (muwalat). Mwenye kuswali anahitajika kwanza ajitoharishe ( kwa ghusl, ikibidi, au kwa wudhu ) na anahitajika kufanya mengine ya msingi yanayohitajika kabla ya Swala.
NAMNA YA KUSWALI - Uongofu
2021年6月21日 · DUA YA KUFUNGULIA SWALA NA KUSOMA FATIHA. – Mwenye kuswali ainamishe kichwa chake, atazame mahali pa kusujudia, kisha aseme: [سُبْحَانَكَ اللهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، تَبَارَكَ اسْمُكَ، وَتَعَالَى جَدُّكَ، وَلَا إِلَهَ غَيْرُكَ] SUB’HANAKA ALLAHUMMA WABIHAMDIKA, TABAARAKA IS’MUKA WATA’AALA JADDUKA WALAA …
9. Namna za kuswali swalah ya usiku – al-Firqah an-Naajiyah
2019年5月7日 · Ibn Khuzaymah amesema katika “as-Swahiyh” yake (02/194) baada ya kutaja Hadiyth ya ´Aaishah na nyenginezo juu ya hizo namna zilizotajwa: “Inajuzu kwa mtu kuswali idadi yoyote ya swalah anayotaka katika yale yaliyopokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
NAMNA YA KUSWALI - UISLAMU BLOG
Hawa hawaswali kwa maana ya kuswali kwa sababu ya kutokuwa na elimu ya kutosha na sahihi juu ya swala. Elimu na maarifa ambayo yatawapelekea kuswali kama alivyofundisha Bwana Mtume na si kama watakavyo na kupenda wao. Kwa mantiki hii swala yao inakuwa fasidi (isiyokubalika) na wanahesabika kama hawajaswali, japokuwa wao watajihesabu wameswali.
19. Namna mbalimbali ya kuswali swalah ya Tarawiyh na Witr
2020年4月15日 · Miongoni mwazo ni swalah za usiku ambazo Allaah amewasifu ndani ya Kitabu Chake wale wenye kuziswali kwa kusema (Subhaanah): وَالَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمْ سُجَّدًا وَقِيَامًا. “Na wale wanaokesha usiku kwa …
Namna Ya Kuswali Swalaah Za Sunnah - Alhidaaya.com
Shukran kwa swali lako kuhusu namna ya kuswali Swalaah za Sunnah. Swalaah za Sunnah zinapendeza kuswaliwa Rakaa mbili mbili. Rakaa hizo mbili unaswali kikamilifu na hata kuifanya ndefu kuliko kawaida haswa zile za Swalaah za usiku. Ama shahada (Tahiyyaatu) unaweza kukamilisha hadi mwisho na du’aa, na hivyo ni bora zaidi.
NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU - Alhassanain
2022年2月26日 · NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU. كيفية صلاة الليل. وقتها: من بعد اول الليل الى ما قبل صلاة الصبح. Wakati wa kuswali Swala za usiku ni baada ya kuingia mwanzo wa usiku, yaani kuanzia saa tano usiku hadi muda ulio kabla ya Swala ya Asubuhi. النية: أصلي نافلة الليل قربة الى الله تعالى.