
Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu - JamiiForums
Feb 18, 2024 · MUUAJI MWENYE KOFIA NYEKUNDU SEHEMU 001 Yalikuwa ni majira ya usiku wa saa sita kamili, John Otieno alikuwa akikatiza kwenye mtaa uliotulia maeneo ya Iwambi jijini Mbeya. Mtaa huu ulijaa nyumba za kifahari tupu, hakukuwa na kelele za muziki wala kelele za watu waliokuwa wakiongea.
Zile kofia za mafundi ujenzi - JamiiForums
Jan 19, 2014 · Hua naona mafundi ujenzi wakiwa kwenye ujenzi wowote wakivaa kofia za rangi tofauti kama rangi ya blue .njano .red au nyeupe.. Na mara nyingine labda kuna mradi mkubwa unajengwa sehemu wale wasimamizi (engenear) na baadhi ya wajumbe wa hiyo shughuli huvaa za nyeupe tuu.. Je hizi kofia huvaliwa...
Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki
Feb 1, 2023 · Kofia inayozungumziwa mara nyingi ni mitre, ambayo ni kofia inayovaliwa na maaskofu na papa katika Kanisa Katoliki, na pia na baadhi ya viongozi wa makanisa mengine ya Kikristo. Mitre ina umbo la sehemu mbili zinazojitenga juu, ambazo zinaweza kufananishwa na kinywa kilichofunguliwa cha samaki. View attachment 3025488
Kwanini hackers wanavaa Mask na Kofia wakiwa katika shughuli …
Oct 31, 2021 · Hello I.T fans.. naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula) hivi sababu ni zipi hasa? Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
Kule Congo sijaona wananchi wakigawiwa kofia, kanga na Tshirt
Dec 24, 2023 · Hili suala la ccm kuhonga kanga , chumvi, kofia ni la Tanzania nzima sio usukumani tu, na ccm 90% ya ushindi wao ni kwa ubabe na support ya vyombo vya ulinzi na tume uhuru zina wabeba kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na wapinzani wao, mfano mtu kateuliwa na Rais kuwa mwenyekiti wa tume hawezi kutangaza matokeo tofauti na matakwa ya mteule.
Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?
Mar 28, 2019 · Mimi nimekuwa mpenzi sana wa uvaaji kofia. Na kofia ninayoipendelea zaidi ni zile wazungu waziitazo Ivy Caps. Lipo jambo moja ambalo nimelishuhudia tangu ninakua, ni kuwa ukikutana na mtu aliyekuzidi umri then ukawa unamsalimia basi ile kofia unaivua, baada ya salamu unaivaa. Nami kwa kufuata mazoea basi huwa nafanya hivyo pia.
Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za ...
Mar 9, 2022 · Mmoja kati ya waliokutana na suala hili anaeleza "Mimi kwa Mwezi kampuni yangu inanilipa Tsh. 300,000 lakini ni ngumu kupata hizo hela, naishia kupata 130,000/=, wanachofanya wanakuja kwa kushtukiza wakikuta upo lindo umeweka rungu chini wanakukata 30,000 au ukitoa tu kofia kichwani wanakukata mpaka waone imefikia pesa wanayoitaka ambayo ni Tsh ...
Njoo ujifunze kutengeneza masweta, kofia na soksi za watoto …
Jun 11, 2014 · Ndugu wanabodi,tunafundisha utengenezaji (ufumaji) was masweta,kofia,scarf nk kwa kutumia machine.Ada yetu ni tsh 300,000/=(laki tatu ).Mda Wa mafunzo ni miezi 2 lakini tunaweza kuongeza mwezi mmoja bure iwapo hujaelewa.Tunapatikana Tabata,DSM.
CCM ifanyike mabadiliko suala la kofia mbili - JamiiForums
Jul 20, 2016 · Ili kutoa uamuzi wa kuzitenganisha kofia mbili za urais na uenyekiti wa CCM, mkutano mkuu maalumu unalazimika kubadili ajenda ya kumkabidhi uenyekiti wa chama hicho Rais Magufuli. Wajumbe wa mkutano huo wanapaswa kujadili muelekeo mpya wa kuzitenganisha kofia hizo na kumruhusu mwenyekiti wa sasa, Kikwete aendelee kushika wadhifa huo hadi …
Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia - JamiiForums
Jul 17, 2011 · Nauza mashine za kutengeneza aina mbalimbali za mabati na kofia. Machine ni mpya na zinafika Dar es salaam tarehe 23 April. Mashine ni hizi zifuatazo CORRUGATED ROOFING MACHINE Hii inatengeneza mabati ya migongo ya kawaida na bei yake ni 45m IT4 MACHINE( BATI LA MSAUZI) Hii...