
Je, wajua? - Special Thread - JamiiForums
2014年4月3日 · Je, wajua kuwa mwili wa mwanadamu una kiwango cha mafuta chenye kuweza kuzalisha miche saba ya sabuni? 11. Je, wajua kuwa katika ngozi ya mwanadamu mmoja pekee kuna idadi kubwa ya viumbe hai kuliko idadi ya wanadamu wote walioko katika ulimwengu mzima? 12. Je, wajua kuwa kama mdomo wako ukiwa mkavu kabisa huwezi kutofautisha ladha mbalimbali? 13.
Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee …
2025年3月30日 · Tuseme kwa wastani kiwanda kimoja kinagharimu takriban Bilioni 3. Kwa kiasi cha mkopo kilichokopwa, Tungekuwa na viwanda vidogo zaidi ya viwili kila kata na chenchi ya uendeshaji wa kila kiwanda ingebaki na ajira kadhaa zingezalishwa. Je, hapo ulipo umezungukwa na viwanda vingapi katika kata yako?
Je, wajua kuna alama zinazomaanisha maagano na viapo? Jitahidi …
2025年1月3日 · JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Alama! Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA. Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana. Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee …
2025年3月30日 · Makisio ya gharama ulizo weka yana upungufu mkubwa, infact hakuna kituo cha Afya cha thaman ya 200M, hakuna! Enzi za JPM alitoa 400M kila wilaya lakin haikutosha kumaliza ujenzi wa kituo kimoja. Pia hakuna darasa la Tsh 3M hakuna! Hata kama umekisia, ilipaswa uendane walau na hali halisi kwa...
Je Wajua !? Jino lililozibwa linadumu zaidi ya miaka 15.
5 天之前 · Fahamu baadhi ya Faida za Kuziba meno Yaliyotoboka 1. Meno Yaliyotoboka iwapo yatazazibwa yanadumu miaka 7-10 2. Utazuia meno yasiendelee kuharibika 3. Ubora na uimara wa jino halisi utaongezeka 4. Jino Litakuwa na uimara kama mwanzo Iwapo una changamoto za Afya Kinywa na Meno Unaweza...
Je, wajua haya kuhusu bwawa la Mtera? - JamiiForums
2019年12月17日 · Je, Wajua? Mara ya mwisho Bwawa la Mtera kufunguliwa ili kuruhusu maji yapungue ilikuwa 21/3/2020 na haikuwahi kufanyika hivyo toka mvua za El Nino mwaka 1997/98 Je, Wajua? Ujenzi wa bwawa la Mtera ulianza enzi za Nyerere, mwaka 1970 na lina ukubwa wa 'catchment' kilomita za mraba 68000 Je...
"Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi …
2022年8月21日 · Wanabodi, Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa! leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
Je, wajua! Kwa nini madaktari wanapendelea kutumia kipimo cha ...
2016年7月31日 · Je wajua! Kwa nini hospitali wanapendelea kutumia kifaa cha ultrasounds kwa wajawazito na sio MRIs, ni kwamba katika MRI kipimo chake kinaonesha hivi kwa wajawazito mtoto akiwa tumboni inavyoonekana.
Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (Ukoloni ...
2021年9月9日 · JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI (UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForum , Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na kisiasa.
Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan?
2023年2月22日 · Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...