
Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics) - JamiiForums
2013年7月17日 · kwa wapenzi woote wa music wa Diamond..kaa tayari kwa video ya wimbo mpya kabisa wa diamond..video inayorecodiwa nje kabisa ya Africa mashariki kwa maandalizi yanayofanywa inatalajiwa kuwa aiana ya video ambayo hakuna mwana bongo fleva aliyewahi ifanya..keep waitn A bit of entertainment from...
Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa …
2025年1月16日 · Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima. Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda? View attachment 3203767
Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views
2016年7月21日 · Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix. Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone. This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016.
Wimbo mpya wa Diamond wazimwa na Wema Sepetu - JamiiForums
2017年2月3日 · Safari hii inaweza ikawa ni bad timing kwa mwanamuziki mashuhuli Africa, diamond platinum, baada ya hivi karibuni kuachia video ya wimbo wake mpya huitwao Marry me aliomshirikisha mwanamuziki Ne-yo kutoka marekani. Video hiyo inasemekana kufanyiwa fitina ya coincidence na mwana dada mwenye...
Wimbo wa Mapozi wa Diamond, unaendelea kufanya vizuri Nchini
2024年1月30日 · Na hili limeendelea kuthibitishwa na wimbo wake mpya wa "Mapoz" kutokana na streams lakini pia kuzitawala chati mbalimbali za muziki nchini Ikiwa tayari ameachia wimbo wake wa "Mapoz" akiwa na Jay Melody na Mr. Blue tayari ngoma hiyo imeingia kwenye chati ya nyimbo 100 bora za apple music tanzania na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza.
Diamond Platnumz akwaa skendo ya kuiba wimbo mpya
2019年4月22日 · DIAMOND anazidi kudhihirisha kuwa anajificha nyuma ya wasanii wake baada ya kushindwa kutoka vizuri na wimbo mpya.
Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi
2013年11月5日 · Teaser ya wimbo wa msanii kinara katika muziki wa Bongo "Dimond platnumz" imevunja rekodi ya kupakuliwa katika mitandao mara nyingi zaidi, kipande hicho ni cha sekunde 21 kinachoonyesha kuwa hiyo nyimbo itakuwa bora kabisa endapo itatotelewa mwaka huu au ujao...hebu iangalie halafu utoe maneno...
Wimbo mpya wa Darassa ft Ben Pol - Muziki (Official Music Video)
2016年11月24日 · Naona mashabiki wapo busy kujadili Na kulinganisha wasiojua mziki wanaacha kusikiliza mziki mzuri. Link Hiyo hapo chini akiwa Na Ben pol, huu ndio mziki sasa wengine hao wanapiga makelele Mashairi yake.... Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite mbwana samata Verse...
Diamond Platnumz akwaa skendo ya kuiba wimbo mpya
2019年4月22日 · DIAMOND anazidi kudhihirisha kuwa anajificha nyuma ya wasanii wake baada ya kushindwa kutoka vizuri na wimbo mpya. Skendo iliopo mezani Diamond ameiba wimbo wa msanii chipukizi wa NAMIBIA anaitwa King Tee Dee au KIng TD... alikuja Bongo kurekodi kwa kumshirikisha Diamond lakini alivyoondoka...
Eti wimbo mpya wa Diamond kamuimbia Wema? - JamiiForums
2014年12月8日 · Ni hivi mapema tangu Wema afunuke kwamba wameachana na Diamond lakini jamaa amekataa ku confirm or to prove wrong about.