Pia, tuliona baada ya juhudi za jumuiya ya kimataifa, jioni ya Desemba 12, 2013, DRC ilisaini mkataba wa amani na M23 ...
Ni kwa sababu kila lawama ya anguko la Chadema, alitupiwa Mbowe. Uchaguzi ulioharibiwa wa serikali za mitaa 2019, Uchaguzi ...
Rais Kenyatta alitangaza kuwa Mwai Kibaki alifariki usiku wa siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 90. Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013. Rais Uhuru ...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya nchi yake na kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan Kusini. Rais Kenyatta alisema kuwa Kenya ...