tunamshukuru kwa ushirikiano wake na sapoti zake kwa SMZ n ahata Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hakika amekuwa mfano wa kuigwa, kazi kubwa anaifanya na tunampongeza kwa juhudi zake, ...
Licha ya muziki kuhusisha usikilizaji zaidi lakini video zake zimekuwa na mchango mkubwa wa kukuza kazi za wasanii na ...
NAMNA ya kuendesha maisha katika uhalisi wa kawaida, ina hatua inayopanda hadi mamlaka ya nchi, serikali na mkuu wake, vyote vikimrahisishia maisha mkazi, pia viumbe vingine kadri inavyowezekana.
Kiongozi huyo wa Baraza Kuu amesema mwaka 2025 unaanza huku zaidi ya watu bilioni 1 wakiwa bado wanaishi katika umaskini uliokithiri, na asilimia 40 kati yao wakiwa katika nchi zilizokumbwa na ...
“Na hata uvutaji wa sigara au historia ya familia sambamba na vinasaba ni moja ya vyanzo vya uvimbe huo,” anasema Dk Haidar. Anasema kitaalamu, hakuna sababu inayosababisha moja kwa moja hali hiyo, ...