Msimamizi wa Tanroads Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Chiyando Matoke amesema sehemu kubwa iliyobaki ni ujenzi wa jengo la abiria, huku barabara ya kuruka na kutua ndege ikiwa tayari imekamilika. “Uwanja ...
Katika chapisho la mtandao wa kijamii, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema yeye na wafanyikazi walikuwa karibu kupanda ndege wakati uwanja wa ndege ulipopigwa na angani.
Israel ilifanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo kadhaa yanayohusiana na Wahuthi nchini Yemen, yakiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa na bandari za Bahari ya Shamu, na kusababisha vifo ...
Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO amenusurika katika tukio la shambulizi la leo Alhamisi, Desemba 26 baada ya ndege za Israel kushambulia ...