MADINA Idd na Vicky Elias wamedai zoezi ya kuzisoma changamoto za viwanja vya Leopards Creek, Mpumalanga, Afrika Kusini linaendelea vyema kabla ya michuano ya gofu ya wanawake wa Afrika ...
Matumaini ya vyama vya upinzani kuunda mseto ili kukikabili Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kama ...
Dar es Salaam. Sekretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini jana Februari Mosi 2025. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililochapishwa katika tovuti ya sektretarieti ya ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji ...
STRAIKA, Jhon Duran amepanga kusafiri kwa maili 600 kila siku kutoka Bahrain hadi kwenye timu yake mpya ya Al-Nassr ya Saudi ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa mjini Kib ...
Donald Trump ametekeleza tishio lake la vita vya kibiashara na kuweka ushuru wa forodha wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico siku ya Jumamosi. Donald Trump pia ametangaza kuweka ushuru uliopo kwa ...