SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF), kupitia Bodi yake ya Ligi (TPLB), limeufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, ...
wakati wa ibada ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa. Ibada hiyo imefanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri ...
Maelezo ya picha, Risasi zilizoachwa na wanajeshi wa FRDC. Ali Richard, mkaazi wa Goma ameiambia BBC kuwa wakati M23 walipoingia mjini humo, wanajeshi wengi walitoa mavazi yao rasmi na kuyatupa ...
Edward Ngoyai Lowassa, tayari ameshatimiza mwaka mmoja tangu alipovuta pumzi ya mwisho, Februari 10, 2024 akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Muhimbili. Ndani ya mwaka mmoja, mengi ...
TANGA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya yaBumbuli katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga leo Februari ...
Maelezo ya picha, Wanamgambo wa kike wa Iran wakiwa wameshikilia picha ya Donald Trump yenye X nyekundu kwenye paji la uso wake wakati wa maandamano mjini Tehran tarehe 10 Januari 2025 ...
TANGA; Sehemu ya wananchi wa Kilindi waliojitokeza kumsikiliza Rais Dk Samia Suluhu Hassan leo Februari 25, 2025, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Rais Samia inayoendelea mkoani Tanga.(Picha na ...
WAKATI mwingine kumekuwapo matabaka katika familia, kutokana na watu wengi kukosa elimu ya ukuaji watoto, wakisahau hatua za ...
Teknolojia zinazoendeshwa na AI, kama vile teknolojia ya kizazi kijacho ya Hikvision, DarkFighter 2.0, inaweka viwango vipya vya ubora wa picha, hasa katika mazingira magumu yenye mwanga mdogo. Blogu ...
kila moja likiwa na picha ya mmoja wa mateka wa Israeli. Juu ya jukwaa, bango linaonyesha Benjamin Netanyahu kama mtu asiye na huruma. Kisha majeneza hayo yalihamishiwa kwenye gari ndogo (4x4 ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Taarifa za kina juu ya ajali hiyo bado hazijulikani, lakini picha ya video inaonyesha ndege iliyopinduka ikiwa kwenye eneo lililofunikwa na theluji huku bawa lake la msingi likiwa limeharibika mno.