Aidha, utafiti huo ulibaini kuwa karibu sekta zote kuu za uchumi wa Zanzibar zinaathiriwa na mabadiliko ya tabianchi na kuainisha kuwa Zanzibar ina maeneo 148 Unguja 25, Pemba 123 ambayo yameathirika ...