WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekabidhi malori matano na mitambo mitano mitano yenye thamani ya Sh ...
WAJASILIAMALI wadogo na kati kutoka barani Afrika wamehimizwa kuwekeza Tanzania hususan sekta ya utalii kwani ndio sekta yenye uhakika wa kipato. Mbali na kuwahimiza kuwekeza wajasiliamali hao ...
Waziri wa Malisasili na Utalii, Pindi Chana akikata utepe kwenye bango lenye picha za Magavana wa chuo cha usimamizi wa wanyamapori Mweka. Picha na Janeth Joseph Moshi. Serikali imekiagiza Chuo cha ...
Madaktari hao wanatoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Taasisi ya Mifupa (MOI) na Hospitali ya Benjamin Mkapa ya Dodoma ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amezindua rasmi Bodi ya Magavana ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori MWEKA huku akisisitiza chuo hicho kuendelea kutoa mafunzo bora yanayokidhi ...
Pemba. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Arif Abbas amesema bonanza la Pemba Tourisport and Cultural linaendelea kuwa kichocheo cha utalii na urithi wa kiutamaduni visiwani humo ...
Wizara ya utamaduni na utalii iliiambia DW tarehe 22 Novemba kwamba sekta ya utalii pia imepoteza hadi dola 45,000 kutoka kwa zaidi ya wateja 8,000 waliofutilia mbali safari zao katika mikoa miwili.