“Si siri kwamba Rais Samia ni alama ya maadili mema katika jamii yetu ambayo inakabiliwa na tatizo kubwa la mmomonyoko wa maadili. Mmefanya jambo zuri kumwalika kwa sababu watu wengi wanaomfuatilia ...