Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya ...
Lakini moyoni mwangu nilikuwa nayo kwamba mume wangu pia hakuwa mwaminifu. Tulizungumza, tukanywa chai pamoja. Tilipomaliza kunywa chai Musa akanipa chupa mbili za pafyumu alizokuwa ameninunulia ...
“Ni za taniboi wangu.” “Kama ni za taniboi wako zilifikaje kwenye begi lako?” Nilikuwa namhoji kama vile tuko mahakamani. “Nadhani alikosea. Mabegi yetu yanafanana. Badala ya kuzitia kwenye begi lake ...
kuhifadhi lugha za asili, na kuhamasisha utangamno kati ya tamaduni hasa kujifunza kwa kutumia lugha ya mama. Na njia moja wpo ya kufanikisha hilo ni kutumia sanaa ya uandishi kama wa vitabu kwa lugha ...
Kupitia hotuba yake, bila kumtaja Trump, Rais huyo (Ramaphosa) ameonekana kujibu tuhuma za Trump dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini, kuwa kuna vitendo vinavyokiuka haki za binadamu. Wakati changamoto ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果