Msongamano wa magari ya mizigo kwenye barabara ya Dodoma Inn uliosababishwa na msongamano wa watu na magari kwenye uwanja wa Jamhuri panapofanyika maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa chama Cha ...
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mahomanyika, Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wakiwa mbele ya ofisi ya CCM mkoa wa Dodoma kwa ajili ...
SERIKALI imesema ipo tayari kukutana na viongozi wa vijana waliojitambulisha kuwa ni Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO).
Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umejipanga kuboresha huduma kwa wasanii na wabunifu katika mwaka wa fedha 2025/26, kwa ...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za wanyama hapa ...
KENGOLD bado inajitafuta baada ya kurejea katika duru la pili ikiwa imefanya usajili wa kibabe dirisha dogo la usajili ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema mmoja ya ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za Wanyama hapa ...
LIGI Kuu Bara inaendelea kupigwa tena leo kwa michezo mitatu katika viwanja na mikoa mbalimbali na itaanzia jijini Mbeya na Dar es Salaam kwa mechi za 10:00 jioni, huku saa 1:00 usiku ...