Je, wewe huosha brashi zako za mapambo mara ngapi? Umewahi kuazima ujiti wa kupakia wanja kutoka kwa rafiki au kujipaka rangi ...
Baada ya kufanya 'facial ', sura ilibadilika na kuwa ya kutisha.Nilishtuka baada ya kuamka asubuhi kila mtu ananishangaa sura imevimba na kuwasha," anasimulia Nice Aston ambaye ni mkazi wa jiji la ...