Viatu vinavyotundikwa kwenye nyaya za umeme na nyaya za simu vimekuwa na utata mkubwa duniani kote. Vimezungukwa na siri na wasiwasi, na katika jamii nyingi, vinahusishwa na mambo ya uovu.
Nike imesema kampuni iliyotengeza "Viatu vya Shetani" ambavyo vinadaiwa kuwa na tone la damu kwenye soli zake imekubali kuondoa dukani viatu hivyo kama sehemu ya makubaliano yaliyofikiwa katika ...