Safari za ndege za ndani ya nchi nchini Kenya zinatarajiwa kurejea kama kawaida baadaye leo baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya uwanja rasmi wa kimataifa wa ndege nchini humo JKIA.
Vyombo vya habari nchini Korea Kusini vinasema polisi wamefanya upekuzi kwenye ofisi za shirika la ndege la Jeju Air na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Muan kama sehemu ya uchunguzi wao kufuatia ...