Maharage yakaruka na kutua kwenye uso wake . “Kitu pekee nilichoweza kufanya ni kufunga macho yangu na kuhisi mvuke wa moto usoni mwangu. Nilimfokea mwanangu, ‘Nisaidie hapa,’” anakumbuka.
Idadi ya watu wanaoamini kwamba hakuna Mungu, hakuna maisha baada ya kifo na hakuna kuzaliwa upya baada ya kufa inaongezeka kwa kasi ulimwenguni. Kukana uwepo wa Mungu kuko waziwazi katika baadhi ...
Mama huyo anadaiwa kuuawa usiku wa kuamkia Machi 19, 2025 baada ya kuingia katika chumba cha gesti hiyo na mwanaume ...