Maelezo ya picha, Rais Uhuru Kenyatta Kulia awali aliahidi kuwachia madaraka kwa naibu wake William Ruto Kushoto. 19 Juni 2020 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekataa kufutilia mbali uwezekano ...
Maelezo ya picha, Kenyatta aliendesha kampeini zake kwa kuhisrikiana na mgombea mwnza kutoka mkoa wa bonde la Uffa William Ruto Uhuru ulishindwa katika uchaguzi wa 2002 alipata asilimia 31 za kura tu.
Enyi wakenya wapenda amani niliposema hamna viongozi mlinifokea sana na kukinga kabila zenu zaidi hata ya dini yake Mwenyezi Mungu. Niliposema tunatawaliwa na waongo mlinidharau na kunitusi ...
Mnataka nifanye nini? Hii ndio kauli ya Uhuru Kenyatta kwa wakenya. Wakenya waliomchagua pamoja na waliompinga vikali katika chaguzi tata ya mwaka wa 2013 iliyoamuliwa na mahakama ya Jaji mstaafu ...