Raia mmoja wa Misri aliyewacha shule anatumai kuweka historia baada ya kutumia muda wa miaka mitatu akitengeza kile kinachoonekana huenda ikawa Quran kubwa zaidi duniani. Quran hiyo inayotengezwa ...
Mahakama nchini Indonesia imeruhusu kesi dhidi ya gavana wa Jakarta ambaye ni mkristo, kwa mashtaka ya kutusi Quran. Kesi hiyo inaonekana kupima uhuru wa kuabudu katika taifa hilo lenye waislamu ...