Daktari mmoja nchini Uingereza amepatikana na hatia ya kuwa na video za ngono, ikiwemo moja ya mwanamume akishiriki ngono na nyoka. Cyprian Okoro, 55, kutoka kusini magharibi mwa London ...
Tanzania inatenga kiasi cha fedha kwa ajili ya kupambana na mitandao ya ngono. Tanzania inasema picha hizo ni kinyume cha maadili ya nchi hiyo, hivyo inatengeneza mfumo utakaoweza kuchuja na ...