资讯

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametunikiwa Tuzo ya Mwanamke Kinara 2025, iliyotolewa na wanawake wa Kanda ya Ziwa, kwa kutambua ...
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Habari Gerson Msigwa amesitisha kwa muda wa siku 30 leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti la Raia Mwema kuanzia kesho tarehe 6 mwezi Septemba mwaka 2021.
Watu wanapomzungumzia Msamaria Mwema huenda zaidi humfikiria Msamaria aliyeangaziwa katika Biblia aliyemuokoa mwanamume aliyepigwa na majambazi, kuvuliwa nguo na kutupwa kando ya njia kufilia mbali.