Baada ya kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda wa Januari 14, Rais Yoweri Museveni anaelekea kukaa madarakani kwa muda wa miaka 40 - tayari muda mrefu kuliko rais mwingine yeyote katika ...
Leo Mei 12, 2021 Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kuapishwa kuendelea kuiongoza Uganda. Ikulu ya rais iliarifu wiki iliyopita kuwa wakuu wa nchi kumi na moja wamethibitisha kuhudhuria hafla hiyo.