Katika mfululizo wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Afrika, mwanahabari wa Ghana Elizabeth Ohene anazingatia wito wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa watu kula mihogo huku bei ya ...
Ukitembea jijini Dar es Salaam, mojawapo ya vitu utakavyoviona ni pamoja na wanawake wanaouza mihogo mibichi. Wauzaji hawa huwalenga sana wanaume na vijana. Ili kujua nini siri ya mihogo mibichi ...