Kwa mfano, ISOGASHII (kuwa na shughuli nyingi), inageuka na kuwa ISOGASHISÔ (unaonekana kuwa na shughuli nyingi). Kwa vivumishi vya NA, unaongeza SÔ peke yake kwenye vivumishi hivyo. Kwa mfano ...
Kwa mfano, "niko stesheni" ni WATASHI WA EKI NI IMASU. Ikiwa kitenzi kinaonyesha mwenendo au mabadiliko kama vile IKIMASU (kwenda), NI inaonyesha mwisho wa mwenendo husika. Kwa mfano, "ninakwenda ...