Maharusi waliowasisimua wengi baada ya kutumia Sh100 pekee za Kenya kugharimia harusi, wameandaliwa sherehe ya harusi ya kufana jijini Nairobi. Sherehe hiyo ya marudio imeandaliwa katika bustani ...
Janga la virusi vya corona limelimewaathiri kwa kiasi kikubwa wapendanao 'ambao wamekuwa na ndoto ya kufanya harusi kubwa. Lakini wapenzi wa Malaysian wameweza kuepuka masharti ambayo ...