Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli, ameyaonya magazeti mawili ambayo amesema yanaandika habari za uchochezi na kupotosha wananchi. Amesema hatua ya magazeti hayo inahatarisha amani nchini humo.
Magazeti yaliokuwa yamefungiwa ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima. Chanzo cha picha, AFP Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado ...