Koffi Olomidé, mojawapo ya nyota wa muziki Afrika , amepatikana na hatia kwa ubakaji wa mojawapo ya wanengeuaji wake alipokuwa miaka 15. Amehukumiwa miaka miwili gerezani na mahakama ya Ufaransa ...