TANZANIA imekuwa ikitajwa kuwa kisiwa cha amani. Msemo huo umedumu katika awamu zote za uongozi wa nchi tangu ilipoundwa baada ya kuunganishwa na yaliyokuwa mataifa ya Tanganyika na Zanzibar. Viongozi ...
Muhariri wa kitabu cha rekodi za Guiness alisema kwamba alijawa na majonzi aliposikia habari za kifo cha bwana Magar. ''Alikuwa na tabasamu nzuri ambayo ilimvutia kila mtu aliyekutana naye'', alisema.