Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (59), amejiuzulu wadhifa wake kupitia barua aliyoandika jana kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - akiuelezea uamuzi huo kuwa ...
Bunge la Tanzania limeazimia kutokufanya kazi na Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za serikali, (CAG) wa nchi hiyo Prof Musa Assad baada ya kumtia hatiani kwa tuhuma za dharau kwa chombo hicho.
Makamu wa Rais Kamala Harris, anayehudumu kama Rais wa Bunge la Seneti alitangaza kuwa “Matokeo ya kura hizo yanapaswa kuwa uthibitisho kamili wa watu waliochaguliwa kuwa Rais na Makamu wa Rais ...
Baada ya rais Steinmeier kulivunja bunge la Ujerumani Bundestag, sasa nchi hiyo ina siku 60 kuandaa uchaguzi wa mapema unaotarajiwa kufanyika Februari 23. Katika hotuba yake kwa taifa Frank-Walter ...