Jumatano Agosti 30, 2023 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alilifanyia mabadiliko madogo baraza lake la mawaziri. Si mabadiliko ya kwanza tangu aingie madarakani Machi 2021. Kila wakati ambapo ...
Baraza la Habari nchini Tanzania limewasilisha kesi mahakamani kupinga Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari iliyopitishwa na bunge la nchi hiyo Novemba mwaka jana. Baraza hilo limewasilisha kesi ...