Ni mgongano wa masilahi, ndivyo inavyodhihiri katika huduma ya matibabu kati ya kundi la wazee wastaafu na Mfuko wa Taifa wa ...
Kujiweka juani kuna manufaa kwa afya yako ya mwili na akili. Hiyo ni kwa sababu, bila ya jua la moja kwa moja, mwili wako ...
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema wanajivunia maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ...
Wakati baadhi ya vituo vya afya vikilalamika kucheleweshewa malipo na mengine kukataliwa hivyo kushindwa kujiendesha, Mfuko ...
Serikali imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utafiti katika sekta ya afya kwa kutenga fedha mahsusi, kutumia matokeo ya ...
Baadhi ya tafiti zinapendekeza kwamba hali ya kulalamika linaweza kusababisha mabadiliko katika muundo wa ubongo ambayo, kwa ...
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa mitandaoni inayodai kuwa Neema Kilugala, mkazi wa Daraja Mbili ...
WANANCHI wanahitaji kuona mabadiliko ya kimaendeleo ikiwamo kwenye sekta ya afya, ili kuona matokeo ya juhudi zinazofanywa katika kufanikisha hatua za maendeleo endelevu. Naibu Waziri wa Afya, Dk. God ...
Ugonjwa wa chikungunya "umeenea kote" Réunion, ambapo zaidi ya kesi 4,000 mpya zimeripotiwa katika wiki moja, mamlaka katika ...
Mamlaka za Afya katika Ukanda wa Gaza zinasema zaidi ya watu 1,000 wameuawa tangu Israel ilipoanzisha tena mashambulizi ...
MGOMBEA nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi ametaja vipaumbele ...
Mwenyekiti wa LAAC, Halima Mdee, ametoa maelekezo hayo baada ya kamati kufanya ziara ya kukagua miradi ya ujenzi, ikiwemo ...